Skip to main content
All CollectionsBaba Olivia
Kuangalia Baba Olivia
Kuangalia Baba Olivia

Learn how to watch Baba Olivia TV Series on Pendwa (Swahili instructions).

J
Written by Jovin Mwilanga
Updated over a week ago

Tangazo

Mwisho wa kuangalia Baba Olivia Season 1 hapa Pendwa ilikuwa tarehe 17 Februari 2022. Kuanzia tarehe 20 Februari 2020 haitawezekana kuangalia Baba Olivia kupitia Pendwa.


Habari na karibu. Sehemu ya kwanza (Episode 1) na ya pili (Episode 2) ya Baba Olivia ni bure kabisa.

Kabla haujaendelea, je umeshajiunga (kutengeneza akaunti) na Pendwa? Kama bado basi tumekuwekea malekezo yote hapa.

Unaweza kuanza kufurahia tamthilia hii mashuhuri kabisa leo hapa Pendwa kwa kwenda kwenye ukurasa rasmi wa Baba Olivia.

Kama una maswali kuhusu kulipia sehemu (episodes) nyingine za Baba Olivia, unaweza kupata muongozo hapa.

Muongozo zaidi

Pata taarifa kuhusu application zetu rasmi za Pendwa hapa.

Did this answer your question?