Skip to main content
All CollectionsApplication za Pendwa
Application ya Pendwa ya Android (Samsung, Infinix, Tecno, n.k.) Google Playstore
Application ya Pendwa ya Android (Samsung, Infinix, Tecno, n.k.) Google Playstore

Does Pendwa have an application for Android? (Swahili answer).

J
Written by Jovin Mwilanga
Updated over a week ago

Kwa wapenzi watazamaji wetu wanaotumia simu zenye mfumo wa Android kama Samsung, Tecno, Infinix na nyinginezo, unaweza kufuata maelekezo yaliyopo kwenye hapo chini ili kujiunga na Pendwa kwenye simu yako.

Je naweza kupakua application ya Pendwa Play Store? Kwa sasa hivi, bado tunafanya kazi kwa bidii kukuletea application yetu rasmi ya Pendwa ili uweze kuipakua moja kwa moja kwenye simu yako. Tutatangaza pale itakapokuwa tayari.

Kutumia Pendwa Kwenye Android

Did this answer your question?