All Collections
Kulipia filamu na tamthilia
Maelezo kuhusu Kukodi au Kununua
Maelezo kuhusu Kukodi au Kununua

Learn more about renting and buying movies and episodes on Pendwa (Swahili instructions).

J
Written by Jovin Mwilanga
Updated over a week ago

Ili kuangalia filamu na sehemu za tamthilia (episode) hapa Pendwa, inabidi uchague kati ya kukodi au kununua kidijitali.

Kukodi kidijitali

Ukikodi filamu au sehemu ya tamthilia kidijitali, unapata masaa 72 ya kuangalia filamu au sehemu ya tamthilia hiyo hapa Pendwa. Baada ya masaa hayo kuisha itabidi ukodi tena filamu au sehemu hiyo ya tamthilia ili kuiangalia tena.

Kununua kidijitali

Ukinunua filamu au sehemu ya tamthilia kidijitali, utaimiliki kidijitali milele na utaweza kuingia kwenye akaunti yako muda wowote na kuangalia filamu au sehemu ya tamthilia hiyo hapa Pendwa.

Mara nyingi bei za kukodi ni ndogo kuzidi bei za kununua filamu au sehemu ya tamthilia. Ukiachana na hilo, sio kila filamu au sehemu ya tamthilia inawezwa kununuliwa. Filamu na sehemu nyingi zinawezwa kukodishwa na chache ndizo zinawezwa kununuliwa.

Did this answer your question?