Skip to main content
All CollectionsBaba Olivia
Kuhusu Baba Olivia Season 2
Kuhusu Baba Olivia Season 2

Learn more about Baba Olivia Season 2 (Swahili instructions).

J
Written by Jovin Mwilanga
Updated over a week ago

Asante sana kwa kuangalia na kufurahia msimu wa kwanza (Season 1) ya Baba Olivia. Msimu wa pili (Season 2) ya Baba Olivia tayari tunaifanyia kazi na tutatangaza pale itakapokuwa tayari.

Usisahau kujiunga na sisi kwenye Facebook, Instagram, na Twitter ili uweze kujua pale itakapokuwa tayari.

Did this answer your question?