All Collections
Kuigiza
Kuhusu nafasi za kuigiza Pendwa
Kuhusu nafasi za kuigiza Pendwa

Learn more about opportunities to be on Pendwa movies and TV Shows (Swahili)

J
Written by Jovin Mwilanga
Updated over a week ago

Habari na karibu Pendwa.

Sasa hivi hatuna nafasi za kuigiza. Pendwa inafanya kazi na watengenezaji wa filamu ili kuleta kazi zao Pendwa. Kama una kipaji cha kuigiza ushauri wetu ni kufanya kazi na watengenezaji hao wa filamu na tamthilia.

Did this answer your question?